Posts

FAIDA ZA MSITU

Image
M isitu ni miongoni mwa rasilimali muhimu kwa binadamu na viumbe vingine vyenye uhai hapa duniani. Msitu ni mkusanyiko wa miti mingi katika eneo kubwa kijiografia. Miti hii huweza kuwa ya asili au iliyopandwa na binadamu. Misitu ina faida kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku hapa duniani, karibu kila siku tunatumia rasilimali misitu kuweza kukidhi haja zetu.                                                                   FAIDA ZA MISITU  Misitu hutupatia mvua, misitu hutupatia vifaa vya ujenzi, misitu hutunza vyanzo vya maji, misitu ni maskani ya wanyama, misitu hutupatia hewa safi ya oksijeni, misitu hutupatia malighafi mbalimbali kama vile magogo, mbao. Misitu husaidia sana katika kukinga upepo na hivyo huepusha athari za upepo mkali, misitu ni vivutio vya utalii nchini kwetu Tanzania na kweng...